Duh!kweli kazi ipo hadi ww wifi umechukuliwa mume?
Utampatia wapi....safari hii wangu namwekea tego
Wacha mambo yako....mume wangu mhendsam hadi huwa najionea wivu
alikuwa anajariobu atuache embu njoo uondoke zetu mume wangu Mr RockyKhantwe si nilikuonya kuwa ukimpa nafasi miss chagga hata huyo mume wako Ntuzu hatarudi Niss chagga ni mtamu mbaya yaani hata mimi sioni wala sitambui japo nina ndoa yangu
Sijui kanakula nini katoto kale aise
Aione Tized na Ntuzu na Mndengereko
bado wako
Wii yan acha tu....hapa nilipo hadi nimekonda
Khantwe si nilikuonya kuwa ukimpa nafasi miss chagga hata huyo mume wako Ntuzu hatarudi Niss chagga ni mtamu mbaya yaani hata mimi sioni wala sitambui japo nina ndoa yangu
Sijui kanakula nini katoto kale aise
Aione Tized na Ntuzu na Mndengereko
Ndo ilivyo my wii mie niliwaita muokoe ndoa yangu hata hamkuja hatimae tumeachana
Etiii....??? Umesema miss chagga mnini...??? Aione Dena Amsi
Khantwe si nilikuonya kuwa ukimpa nafasi miss chagga hata huyo mume wako Ntuzu hatarudi Niss chagga ni mtamu mbaya yaani hata mimi sioni wala sitambui japo nina ndoa yangu
Sijui kanakula nini katoto kale aise
Aione Tized na Ntuzu na Mndengereko