Miss chagga bring back my hazbendi

Miss chagga bring back my hazbendi

Pliz miss chagga najua mume wangu Ntuzu yupo kwako. Unaona raha gani kukaa na mume wa mtu huku mi mkewe nateseka peke yangu? Mwanangu romantic eyes karibia chuo kinafunguliwa baba haonekani.....sijui hata kwa kupata nauli. Nitumieni bas hata kwa Tigo-pesa aisee...
Au ngoja nimwambie First Born aokoe jahazi manake aibu hii

shemeji si umuache utafute mume mwingne kwani wanaume wameisha why kuwa na mume ambae ni mchepukaji
 
Last edited by a moderator:
Ni mtamu kwenye kuimba Khantwe na sio yale mambo yetu
Akikuimbia hapa miss chagga utafikiri ni Celine Dion au Whitney Houston maana ana sauti nzuri sana miss chagga njoo hapa aise nimemiss sana sauti yako kuniimbia

Hahahahahaaaa.....lol naona umeamua kujidifend. Kama kuimba mbona mi najua sana jamani ina maana Ntuzu kafuata kuimba tuu...???
 
Last edited by a moderator:
Pliz miss chagga najua mume wangu Ntuzu yupo kwako. Unaona raha gani kukaa na mume wa mtu huku mi mkewe nateseka peke yangu? Mwanangu romantic eyes karibia chuo kinafunguliwa baba haonekani.....sijui hata kwa kupata nauli. Nitumieni bas hata kwa Tigo-pesa aisee...
Au ngoja nimwambie First Born aokoe jahazi manake aibu hii

hivi huyu miss chagga anajua sana mapenzi au anajua sana kuchuna? mbona anavuruga sana ndoa za watu?

mama mkwe Khantwe nimemtuma romantic eyes akuletee kamzigo fulani

dawa ya miss chagga ni moja tu.. piga shoka ukimkuta na baba mkwe Ntuzu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom