Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
miss neddy anajua?..usijali mdogo Wangu.....maisha lazima yaendelee
Hajajua bado maana hata simu nilizima ili kujipa muda wa kutafakari
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
miss neddy anajua?..usijali mdogo Wangu.....maisha lazima yaendelee
hivi huyu miss chagga anajua sana mapenzi au anajua sana kuchuna? mbona anavuruga sana ndoa za watu?
mama mkwe Khantwe nimemtuma romantic eyes akuletee kamzigo fulani
dawa ya miss chagga ni moja tu.. piga shoka ukimkuta na baba mkwe Ntuzu...
Hajajua bado maana hata simu nilizima ili kujipa muda wa kutafakari
Pliz miss chagga najua mume wangu Ntuzu yupo kwako. Unaona raha gani kukaa na mume wa mtu huku mi mkewe nateseka peke yangu? Mwanangu romantic eyes karibia chuo kinafunguliwa baba haonekani.....sijui hata kwa kupata nauli. Nitumieni bas hata kwa Tigo-pesa aisee...
Au ngoja nimwambie First Born aokoe jahazi manake aibu hii
Shem wazi lako zuri sana ngoja niendelee kudaijesti
wapi hana hela bahili
Best kulikoni mbona unataka kumuua mama'ngu wewe mambo gani hayo umefanya..
hivi huyu miss chagga anajua sana mapenzi au anajua sana kuchuna? mbona anavuruga sana ndoa za watu?
mama mkwe Khantwe nimemtuma romantic eyes akuletee kamzigo fulani
dawa ya miss chagga ni moja tu.. piga shoka ukimkuta na baba mkwe Ntuzu...
natania tu si kweli... kayataka lakini mwenyewe
Please dont steal my mume!
miss neddy anajua?..usijali mdogo Wangu.....maisha lazima yaendelee
First Born baba mkwe atakufa nikimwacha Ntuzu njoo useme kama hutazikwa mapema.... Khantwe mkewe ni shida mwanamke anamaneno ya kubomoa tu hajui kubembeleza
pole Honey Faith hata mi nina majanga mwallu excel kajinyonga kwa ajiri yangu unajua hilo
Pole mdogo wangu. ..karibu unitembelee
pole Honey Faith hata mi nina majanga mwallu excel kajinyonga kwa ajiri yangu unajua hilo
Nitakuja mwaya usijali
Njooni home kwangu weekend hii...tuzungumzie hii hali....!@miss neddy hakikisha hutoki bila usafiri wenye tinted
Hiyo yako ni kali maana uko mbioni kufunguliwa mashtaka.....lol
Njooni home kwangu weekend hii...tuzungumzie hii hali....!@miss neddy hakikisha hutoki bila usafiri wenye tinted
njoo nikupe kimoja alafu utajua kwa nini wanaweza
Mndengereko nikuazime kwa siku tatu tu...njoo na milioni moja