Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Pliz miss chagga najua mume wangu Ntuzu yupo kwako. Unaona raha gani kukaa na mume wa mtu huku mi mkewe nateseka peke yangu? Mwanangu romantic eyes karibia chuo kinafunguliwa baba haonekani.....sijui hata kwa kupata nauli. Nitumieni bas hata kwa Tigo-pesa aisee...
Au ngoja nimwambie First Born aokoe jahazi manake aibu hii
Heeee wii mbona sina habari hii
Ni mtamu kwenye kuimba Khantwe na sio yale mambo yetu
Akikuimbia hapa miss chagga utafikiri ni Celine Dion au Whitney Houston maana ana sauti nzuri sana miss chagga njoo hapa aise nimemiss sana sauti yako kuniimbia
mnawezaje kuwa na mchepuko anayependa pesa kiasi hicho,mimi miss chagga alinishinda kwa sababu ya kupenda pesa sana ingawaje baba yake Urafiki alikubali
Hahahahahaaaa.....lol naona umeamua kujidifend. Kama kuimba mbona mi najua sana jamani ina maana Ntuzu kafuata kuimba tuu...???
Ntuzu kafuata kuimba na mambo mengine maana mtoto miss chagga ni mweupe na unajua tena wasukuma kwa ngozi nyeupe huwatoi
Pole wii jamani...njoo ukae kwetu
Mmmmh nikopeshe hela nikanunue karolaiti aisee....ntanyanyasika hadi lini na u bliaki wangu?
Ntuzu kafuata kuimba na mambo mengine maana mtoto miss chagga ni mweupe na unajua tena wasukuma kwa ngozi nyeupe huwatoi
Mndengereko nikuazime kwa siku tatu tu...njoo na milioni moja
Khantwe si nilikuonya kuwa ukimpa nafasi miss chagga hata huyo mume wako Ntuzu hatarudi Niss chagga ni mtamu mbaya yaani hata mimi sioni wala sitambui japo nina ndoa yangu
Sijui kanakula nini katoto kale aise
Aione Tized na Ntuzu na Mndengereko
Shem wazi lako zuri sana ngoja niendelee kudaijesti
mnawezaje kuwa na mchepuko anayependa pesa kiasi hicho,mimi miss chagga alinishinda kwa sababu ya kupenda pesa sana ingawaje baba yake Urafiki alikubali
Pliz miss chagga najua mume wangu Ntuzu yupo kwako. Unaona raha gani kukaa na mume wa mtu huku mi mkewe nateseka peke yangu? Mwanangu romantic eyes karibia chuo kinafunguliwa baba haonekani.....sijui hata kwa kupata nauli. Nitumieni bas hata kwa Tigo-pesa aisee...
Au ngoja nimwambie First Born aokoe jahazi manake aibu hii
Ndo ilivyo my wii mie niliwaita muokoe ndoa yangu hata hamkuja hatimae tumeachana
Jamaani..lini? mbona sina habar mdogo wangu?
miss neddy anajua?..usijali mdogo Wangu.....maisha lazima yaendeleeNina kama two week hivi my dada.Ndoa imenishinda mie bora nirudi nyumbani tu my dada mwallu