Miss chagga bring back my hazbendi

Mkuu hahahahaha!!! Huu ukimbaumbau ndio mpenzi wangu Kasinde kauzimikia ujue!!!!! Hahahahahaaa!!!
Hasara ni moja tu... hata uwe na shekeni bado unaonekana huna, mbahili na asiyeridhika.. Wakati kwa wenzetu ukiwa hivyo wanakuletea business proposal tu....
Kasinde mpnz wangu hebu njoo basi fasta hapa nkwambie kitu kabla Khantwe na Tized kimbaumbau haja!
 
Last edited by a moderator:

luv that.................
 
Ndugu yangu Tyta naona sasa unataka nipachimbe apa!!! Yaani kila nikuvumbua madini unaibuka.... sijasau ya Eshy m.s bado ujue!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…