Miss chagga bring back my hazbendi

Miss chagga bring back my hazbendi

just-say-no-smiley-emoticon.gif
blue-smiley-that-says-no-emoticon.gif
no-text-smiley-emoticon.gif
loud-speaker-saying-no-smiley-emoticon.gif
please jamani wewe
 
Mama yako ana tabia nzuri sn binti yangu km tabia yako ilivyo nzuri!

Pole binti yangu pilika zilinisonga! Mi niko na mama yako mpk kaburini!

Jamani dadii pilika zakufanya umsahau hadi mama, ulinikwaza sana lakini nimekusamehe baba nafurahi umerudi, unajua mama anakupenda sana ndomana anapata tabu asipokuona..
 
Jamani dadii pilika zakufanya umsahau hadi mama, ulinikwaza sana lakini nimekusamehe baba nafurahi umerudi, unajua mama anakupenda sana ndomana anapata tabu asipokuona..

My douta ndio maana mi nakupendaga mnooo....
 
Jamani dadii pilika zakufanya umsahau hadi mama, ulinikwaza sana lakini nimekusamehe baba nafurahi umerudi, unajua mama anakupenda sana ndomana anapata tabu asipokuona..

Nimefurahi kusikia hivyo binti yangu!

Na mimi pia nampenda sn mama yako na wewe pia binti yangu!
 
Unampenda kuliko unavyonipenda mimi baba yake?
janeth 1 binti yangu mimi na mama yako nani anakupenda sn?

Eee nampenda zaidi maana nna uhakika ni wangu...haitatokea akawa na mama mwingine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom