janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Nimefurahi kusikia hivyo binti yangu!
Na mimi pia nampenda sn mama yako na wewe pia binti yangu!
Nashukuru dady...pole baba umerudi salama? Tulikumiss hadi sio vizuri...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefurahi kusikia hivyo binti yangu!
Na mimi pia nampenda sn mama yako na wewe pia binti yangu!
Eee nampenda zaidi maana nna uhakika ni wangu...haitatokea akawa na mama mwingine
Nashukuru dady...pole baba umerudi salama? Tulikumiss hadi sio vizuri...
please jamani wewe
Mmmmmh aya na mimi ni wangu hana baba mwingine!
Asante binti yangu! Mi niko salama kabisa!
Ata mimi niliwamiss sn hasa mama yako!"""! Yani we acha tu!
utanibembeleza kama mke wangu romantic eyes?
Usikubali kuonja umeona wake za watu wanavolia sipendi mdogo wangu aumie pia take care bwashee...
utanibembeleza kama mke wangu romantic eyes?
Unakomaaa tu na ndoa za watu watakutoboa majicho shaurioo...
Hah a ha ha aaaaah wapi?
Aaaaaaaa hujui kumbe...
bwasheeeeeeee.........
Nitakubembeleza kama mimi
Mmmmmm.......
Nini kama hutaki?
Nitakubembeleza kama mimi
Nataka na wa kwako nimpime kama yupo sawa...
Akuu nitambusu tuWee koma tena ukimwona Mme wangu pita mbali kabisa..
nimezoea kubembelezwa kama yy..vjifunze nikupe hiyo nafasi.