Miss chagga bring back my hazbendi

Miss chagga bring back my hazbendi

Eee nampenda zaidi maana nna uhakika ni wangu...haitatokea akawa na mama mwingine

Mmmmmh aya na mimi ni wangu hana baba mwingine!

Nashukuru dady...pole baba umerudi salama? Tulikumiss hadi sio vizuri...

Asante binti yangu! Mi niko salama kabisa!

Ata mimi niliwamiss sn hasa mama yako!"""! Yani we acha tu!
 
Mmmmmh aya na mimi ni wangu hana baba mwingine!

Asante binti yangu! Mi niko salama kabisa!

Ata mimi niliwamiss sn hasa mama yako!"""! Yani we acha tu!

Haya my dadii niwaache mpumzike.
 
Back
Top Bottom