sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,673
kesho tukutane bar,si unajua weekend ndo imeanza
Hilo ni jambo la msingi, sikuizi m cheap, shot mbili tu za tequilla.
kesho tukutane bar,si unajua weekend ndo imeanza
teyari kaka,kura yangu inakwenda kwa Lady doctor,Wadau wa chit chat ingieni basi kwenye hii thread https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ngia-kumi-bora-ndio-hawa;-piga-kura-sasa.html
Mpigie kura Lady doctor kwa kuandika jina lake,anastahili awe miss wa chit chat.
Acheni uchoyo basi.
C,C Mr Rocky Zion Daughter, ladyfurahia, Baba V Manka 81 Filipo Washawasha, skunk miss chagga miss wa kismayu Honey Faith farkhina. Money Stunna
Kura zenyu zote kwa Lady doctor! OK?
Unaendeleaje?
Wadau wa chit chat ingieni basi kwenye hii thread https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ngia-kumi-bora-ndio-hawa;-piga-kura-sasa.html
Mpigie kura Lady doctor kwa kuandika jina lake,anastahili awe miss wa chit chat.
Acheni uchoyo basi.
C,C Mr Rocky Zion Daughter, ladyfurahia, Baba V Manka 81 Filipo Washawasha, skunk miss chagga miss wa kismayu Honey Faith farkhina. Money Stunna
Baba V piga kwanza kura ugomvi tutasuluhisha baada ya kuraWith due respect mkuu 24hrs , ila nina mgogoro mkubwa sana na familia ya Lady doctor kwa ujumla... nashindwa kuwa conviced...
Kwani anaumwa? Thibitisha nianze kulia mie, Arusha one uko sawa?
Unaendeleaje?