Miss CHIT-CHAT NOVEMBER: Pendekeza Majina sasa!

Miss CHIT-CHAT NOVEMBER: Pendekeza Majina sasa!

kweli mwallu, halafu eti mke wangu wamempanga huku kwen mashindano ya mamiss hakiwezekani, naom ba Arushaone haraka sana mtoe AshaDii na DEMBA, sina hakika kama kuna mtu kamtaja gfsonwin, naunga mkono hoja ya Ablessed. mamiss wajiandikishe kwanza sie tutawapigia kura....ina maana jackline Ntuyabaliwe akagombee tena ?
Kweli kabisa Kaizer maMiss wajiandikishe na maMrs wote waliopendekezwa watolewe wasubiri shindano lao pengine mwakani manake kwa mwaka huu nahisi muda umeshapita. Haya wakaguzi kazi kwao sasa kutuletea orodha ya maMiss wote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom