Miss CHIT-CHAT NOVEMBER: Pendekeza Majina sasa!

Miss CHIT-CHAT NOVEMBER: Pendekeza Majina sasa!

sore kama sikukuelewa ila was kama hivi:

post no. 188
kumbe hata makaka wanaruhusiwa
Erickb52 naye anahitaji kupendekezwa kwenye kinyang'anyiro hicho basi mm nampendekeza aingie miss cc,

wengine ni
Lady doctor, charminglady na Bujibuji


mm sioni kosa langu hapo kwanini madam Mamndenyi ananihukumu sana
kwani Erickb52 na Bujibuji nimewapa kura sijawapa kura ilikuwa mojawapo\
ya kunogesha comment yangu hapo mwambie angalie vizuri pale juu
au ka :A S-confused1::A S-confused1:nini?
 
Wale wote waliopendekeza majina zaidi ya mara moja hatutayahesabu yale ya mara ya pili, na pia wale waliozidisha idadi, kamati itahesabu yale majina manne ya awali tu.

Angalizo: ID zote mpya hazitoruhusiwa kushiriki kinyang'anyiro hiki hasa IDs za mwezi huu wa October, tuna maana yetu.

nashukru kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom