Kweli kabisa Kaizer maMiss wajiandikishe na maMrs wote waliopendekezwa watolewe wasubiri shindano lao pengine mwakani manake kwa mwaka huu nahisi muda umeshapita. Haya wakaguzi kazi kwao sasa kutuletea orodha ya maMiss wote.kweli mwallu, halafu eti mke wangu wamempanga huku kwen mashindano ya mamiss hakiwezekani, naom ba Arushaone haraka sana mtoe AshaDii na DEMBA, sina hakika kama kuna mtu kamtaja gfsonwin, naunga mkono hoja ya Ablessed. mamiss wajiandikishe kwanza sie tutawapigia kura....ina maana jackline Ntuyabaliwe akagombee tena ?
Tigga Mumba asante kwa kunipendekeza................Mimi mmoja tu Heaven on earth
wewe wa kwangu, hata usogope...!kaka unanitenga, sawa... Utaona!
nipo napiga kampeni za chinichini mtashangaa nitavoubuka kidedea
yaaa na maswali yatakuwa ya nyanja zote na niya kupima ufahamu tuu. Na itasaidia wapiga kura kujua wanatoa kura kwa watu wa aina gani.
naunga mkono hoja!
Hili taji lazima ulipate best , sasa mbona bado hawaja-shortlist. Au tayari nimepitwahope mumeo katusikia...........
Hahhahaha sasa hiyo itakua sio umiss , ngoja tuwaachie kina @shansarie wapambane halafu letu litakuja baadae. Ili mpambano uwe fea inafaa wakifanya hivyo. Sisi letu sijui liitwe madam wa chit-chart. Umeona eee
Hili taji lazima ulipate best , sasa mbona bado hawaja-shortlist. Au tayari nimepitwa