Miss CHIT-CHAT NOVEMBER: Pendekeza Majina sasa!

[/QUOTE]

Asante cousin, nakuaminia ujue endelea kunipigia kampeni wangu
 
Last edited by a moderator:
Ok mkuu tupo pamoja nimeshabadilisha imekaa shwaari, naona kampeni ya nyumba kwa nyumba jukwaa kwa jukwaa imepamba moto kwa ajili ya shansarie

Asante sana mkuu!
huyo wa pili anaitwa shansarie..
shukrani sana
 
Last edited by a moderator:
Arusha one, me napendeleza invisible ashirikishwe kwenye kumpata miss chit chat wa 2013 maana pale anaweza kituwekea poll kama kipindi kilicho pita.


Tukisha mpata wa november alaf tuta tafuta wa december,alaf december ndio tumshirikishe invisible kupata wa mwaka kama tulivyo fanya last year.



ALaf kipindi hiki napendekeza kuwe na wasaha wa washiriki wa round ya mwisho kuulizwa maswali hata kama maswali hayato kuwa na marks.
 
Last edited by a moderator:
Arusha one,

ALaf kipindi hiki napendekeza kuwe na wasaha wa washiriki wa round ya mwisho kuulizwa maswali hata kama maswali hayato kuwa na marks.

kwenye maswali na mimi naona ni wazo zuri pia.......it gives the idea of how brilliant the contestant is

and the other side of coin that other people are not aware off ......nasuport hili

cc Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…