Miss CHIT-CHAT NOVEMBER: Pendekeza Majina sasa!

Miss CHIT-CHAT NOVEMBER: Pendekeza Majina sasa!

lazima lirudi kwetu hilo tuko nyuma yako na tunakupigia kura ushinde

mm naanza hiv hebu i :A S check_03: hapa View attachment 118231
wasitunyime na kufanya upendeleo hiyo kura ni ya Lady doctor jamani majaji acheni mkono wa.................QUOTE=Lady doctor;7648593]cousin nimejitoa muhanga kushiriki hili shindano kuwakilisha familia ya watu8 please msiniangushe jamani ili tulirudishe tena taji home

cc: mommy measkron
Passion Lady
charminglady
sweetlady
na wengine utawajulisha bila kumsahau kaka kabanga, binamu Mr Rocky na figganigga
[/QUOTE]

Asante cousin, nakuaminia ujue endelea kunipigia kampeni wangu
 
Last edited by a moderator:
Ok mkuu tupo pamoja nimeshabadilisha imekaa shwaari, naona kampeni ya nyumba kwa nyumba jukwaa kwa jukwaa imepamba moto kwa ajili ya shansarie

Asante sana mkuu!
huyo wa pili anaitwa shansarie..
shukrani sana
 
Last edited by a moderator:
Arusha one, me napendeleza invisible ashirikishwe kwenye kumpata miss chit chat wa 2013 maana pale anaweza kituwekea poll kama kipindi kilicho pita.


Tukisha mpata wa november alaf tuta tafuta wa december,alaf december ndio tumshirikishe invisible kupata wa mwaka kama tulivyo fanya last year.



ALaf kipindi hiki napendekeza kuwe na wasaha wa washiriki wa round ya mwisho kuulizwa maswali hata kama maswali hayato kuwa na marks.
 
Last edited by a moderator:
Arusha one,

ALaf kipindi hiki napendekeza kuwe na wasaha wa washiriki wa round ya mwisho kuulizwa maswali hata kama maswali hayato kuwa na marks.

kwenye maswali na mimi naona ni wazo zuri pia.......it gives the idea of how brilliant the contestant is

and the other side of coin that other people are not aware off ......nasuport hili

cc Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom