halafu nani kakupa urais wa chitchat we Arushaone
Baba V step downHilo swali uliza member woote watakujibu kwa mpigo. Kwa kukurahisishia ni kuwa kulipigwa kura hapa, fainali nikaingia mimi na Erickb52 then nikaibuka na ushindi wa Tsunami. Mratibu alikuwa Mwanyasi.
FYI Waziri mkuu wa CHITCHAT ni Mhe. Mungi.
USHAHIDI HUU HAPA : https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/346255-rais-wa-chit-chat.html
......Swali la nyongeza?
ila ndo yanatufanya tuishi mjiniMajungu sio mtaji hehehe
nangoja ugeuke moyo wangu upate punziMajungu sio mtaji hehehe
Kwenye thread hii hii!
huna sababu ya kuzijua kwa kuwa sifa zote za wewe kuwa mshindi unazo.Haya....sifa za mshiriki je lol