sifa za washiriki tafadhali
ukiwa mwanamke tu tayari nikigezo tosha ila sijajua njia ya kumpata huyu mrimbwende
ukiwa mwanamke tu tayari nikigezo tosha ila sijajua njia ya kumpata huyu mrimbwende
we utashiriki......
kwaiyo haijalishi ni kibonge au mwembamba?
Mi nimpiga debe kwa atakae nishawish...coz my shostito Charming Lady tayari alishatwaa taji.. So nyie akina chocs,Lady doctor..YNNAH...mamndenyi bibi lao...na nyie wengine mkuje kuandikisha majina hapa tuanze kampeni
Ohoo kumbe hata ukiwa muke ya mutu ni ruksa..basi sawaaa
wii mi nataka ujaji tu, kushiriki sitaki
Arushaone, mbona umenimention mara 2?
Au bado unanitaka?
Hata hivo mie sihitaji kushiriki.
Nalea Mimba ya my huz Ben Saanane.
hata mi kidogo niulize.
Uko poa wii wangu?
wii mie nataka kushiriki kabisa...hizo fom sijui napata wapi