Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Tuna tani kadhaa za marafiki wala usitie shaka mpenzi.
sawa mpenzi wangu
Tuna tani kadhaa za marafiki wala usitie shaka mpenzi.
wewe una utani na Mzee wa Rula?
Mimi ningekuwa kibonge kama yeye ningefurahi sana mkuu, ila shemejio Lady doctor anajitahidi kunipa msosi mzuri labda mpaka mwakani nitafikisha kilo 55.
hahahaaa, shem ye mwenyewe anajua kilicho mdatisha kwangu akawaacha maduu wote wa town akanifuata Dr mie lol!
Shem sijajua kama na mimi mke wa Rais naruhusiwa kugombea umiss atii
aahh we huruhusiwi... kutakuwa na muingiliano wa kimaslahi..
Najiandaa kukutafutia kampeni meneja, nadhani mshua wako watu8 attuafaa! Au una wazo tofauti mpenzi?
Gombea shem.
Achana na gonjwa la moyo, wewe gombea na pacha wako.
Lady doctor hana mpinzani kwenye bibi bomba atachukua nafasi bado nafasi ya u miss hajapatikana wagombea
Lady doctor hana mpinzani kwenye bibi bomba atachukua nafasi bado nafasi ya u miss hajapatikana wagombea
Arushaonesenk you The secretary........fomu zinapatikana wapi na mie nikachukue
Rabeeka bibie waniita?