hahahaaa we tony why umebadilisha tena jamani?
Heaven on earth anakutafutaRabeeka bibie waniita?
Heaven on earth anakutafuta
kah mbona prezdaa mwenyewe ameshanipa ruksa jamani, we jiandae kunipigia kampeni tu
aahhh hilo limbwata ulilomwekea kasahau kila kitu we hujaona hapo kasema kila ombi kutoka kwako kwake ni amri
nimekumisije huja mboo
embu nipigie kura
Heaven on earth anakutafuta
Best Arushaone sikuwa hapa yapata miezi kadhaa sasa nimerudi sijui nianze kusoma uzi upi ila hii imenivutia japo hukuniita...
Mi ni mtazamaji na mpiga kura nimewamiss wote kuanzia wewe bila kumsahau my sweet pie [MENTION]mimisa[/MENTION]
Mwaaaaaah
Ok nitaonana naye!
Afu ahsante kwa ile ishu, nshaipata!!
Una akili sana wewe!!!!
Hata sio zuri
Idadi inawekwa wapi mi nimetuma tu,hilo neno hapo chini sema source linalipiwa kodi
Wewe nililokupaga hulisahau tu? Mh
Haya bhana...miss you