Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
​kiiiibooooo!!yahaya hua anawowa kwani?!!Hilo ni jukumu la mumeo.....!
Erickb52
nashukuru kwa kampani shem
ila nina raha huby karudi lolz!!
kumbe Arushaone anahusika na
kifungo chako,kuanzia leo namnunia
cc Lady doctor!!
Ila shem huby wako matata sana lol..
Acha nongwa shem,kuhusu :ban: sihusiki hata tone aisee!! :car: . . . . . Afu :focus: please gombea!!
Asante kwa mapendekezo...mkeo yuko wapi?!
Ha ha ha.. labda Arushaone.. mie wala sina tatizo nae..
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!