CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mkuu Arushaone hebu tupe mlishonyuma, mpaka sasa ni wangapi wamekwisha jiandikisha???
Vipi wafadhili wamepatikana??
Kama hawajapatikana sisi wenyewe wana CHITCHAT tunaweza kuwa wafadhili kwa kuchanga Jerojero ili ipatikane zawadi ya mshindi.....
Ni mtazamo wangu mie CL...!!!!
Vipi wafadhili wamepatikana??
Kama hawajapatikana sisi wenyewe wana CHITCHAT tunaweza kuwa wafadhili kwa kuchanga Jerojero ili ipatikane zawadi ya mshindi.....
Ni mtazamo wangu mie CL...!!!!
Last edited by a moderator: