Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Mshiriki lazima awe mwanamke, bhaaaassssss!
ko mie sina kigezo tena wajamen
Arushaone, mbona umenimention mara 2?
Au bado unanitaka?
Hata hivo mie sihitaji kushiriki.
Nalea Mimba ya my huz Ben Saanane.
Mshiriki lazima awe mwanamke, bhaaaassssss!
Umesha EXPIRE lol
haha! Za mwizi 49 bado moja!!!
Taji kwa sasa liko Mwanza kwa charminglady, ila mchakato mpya unaaza mwezi huu mpaka mwisho wa mwezi November atakapopatikana mshindi mpya. Jiandikishe sasa!
Pia wanatafutwa wafadhili wa shindano hili, watakaolipa zawadi kwa washindi kama ambavyo tumekuwa tunafanya muda woye. Popote ulipo Ruhazwe JR unaombwa ukalie kile kiti chako cha u-Lundenga wa JF ili mchakato uendelee kama kawa.
Vimwana wooooooote karibuni kwa maoni na ushauri.
Nawasilisha,
Arushaone,
Rais wa Chit-Chat.
Copy to: Lady doctor, Paloma, Lisa, Kongosho, mimisa, gfsonwin, snowhite, Nivea, miss wa kinyaru, Passion Lady, King'asti, AshaDii, BADILI TABIA, charminglady, Asnam, Preta, Arabela, KOKUTONA, Madame B, MadameX, jouneGwalu, Asprin, Bishanga, HorsePower, sosoliso, DEMBA, mwekundu, Elizabeth Dominic Asprin AshaDii Amyner Arabela Android andybird314 Asnam ADK Asulo afrodenzi Aggrey86 Anita Baby AmKATRINA BAGAH Bishanga Blaki Womani Bulldog beibe nasty Baba V Boflo Bondpost by default Babuu blessed Bujibuji BHULULU BADILI TABIA dubu bird cacico C6 charminglady Cantalisia COURTESY Chibolo Codon Catherine Chilli Dark City Dena Amsi Erickb52 eli Edson eversmilin Filipo Erotica FP FirstLady1 figganigga gfsonwin GECHANYA ipad IGWE Jaslaws Jiwe Linaloishi Judgement jeneneke Kaizer KARIA Katavi Kaunga kapistrano Kipipi Kimbweka King'asti Kongosho KING Kingo KakaKiiza Kapalampya LiverpoolFC Losambo lara 1 lily Lily Flower Mamndenyi muhanga mtu chake Mada mtundu Mabreka Mr Rocky Mbuzi Mzee MKATA KIU Mtambuzi mikela Madame B MadameX Mtoboasiri Mpenda Yesu Money stunna Mphamvu marejesho Marekebisho Mkusa MUSSOLIN MAMMAMIA Mtalingolo mathematics mase88 manoah Mungi muuza ubuyu matongo manawa mfarisayo Mentor Majigo Mr Q majany Mtoto halali na hela Mwanyasi mwa mwaJ Mzee wa Rula Neylu ney kush Ngeli Nyakwec's Bro Natalia NORTHERN ROCK Nicas Mtei Mzee Mwanakijiji Ngaliba Dume Ndahani ndetichia Nokla Nicole PakaJimmy Preta platozoom patience96 pretty n Remmy Rejao Rungu Ruzyfar Rweye Ronn M Ruhazwe JR Roulette Ruttashobolwa stevoh Swts Smile Smiles Passion Lady St. Paka Mweusi sweetlady Lucas Shark Suprise snowhite SnowBall Slave The secretary TIQO tedo sanga UKI Vin Diesel ummu kulthum Wakati Wozoza watu8 Young Master YouTube Yummy Zinduna zubedayo_mchuzi Zion Daughter zomba Mwita Maranya The Boss, mgaza2001, The Finest, Chauro, Matola, mama D, Mshawa Thanda, The Boss, Mtumishi Wetu, Nazjaz mfumo, Ndukidi Paxman WomanOfSubstance, double R MwanajamiiOne Kichuguu H1N1 moto2012 Albedo HorsePower Iman johnn Kichuguu Bigbro vanmedy BelindaJacob EMT Tuko MTM, Eiyer klorokwini Nyamayao LD Maty Nivea among all.
Mkuu Arushaone kwanza pongezi nyingi kwako kwa kulikumbuka shindano hili......
Muandaaji wa mwaka jana sijui kapatwa na maswahibu gani mpaka katokomea kusiko julikana, tunaomba wale wenye mapenzi mema wajitokeze kuwa WADHAMINI wa shindano hili.....
Mie charminglady kwa kiroho swafiiiiiiiiiii natamani kumvika taji mshindi wa mwaka huu...
Kina dada mjitokeze kwa wingi Taji ndo hili bado ninalo!!!!!!!!!!!!!
View attachment 117042
View attachment 117043
haijalishi, we jiandikishe tu
Kwanza hana mpango....anawaachia nyie watalakwahata mkeo ka expire hili shindano halimhusu
aaaah zawadi isikuumize kichwanataka kujua kwanza zawadi ya mshindi !!!