Mdhamini mkuu bishanga,mshindi ajipange kwenda holiday seychelles five days full board!
Kwanza hana mpango....anawaachia nyie watalakwa
lovito habari yako
Here i am
Kwamba hata bikra bado jamaa hajafanikiwa kuitoa au?Ntake radhi...ndoa yangu ni kama nimefunga jana tu.....
Umepotea wewe?
White kapotea kabisaaa..tuna roho mbaya sii mtu na wii wake looh
Kwamba hata bikra bado jamaa hajafanikiwa kuitoa au?
Hahahaaa
Cc Mumeo
Mwambie na nduguyo beiby nasty agombee, hii ni fursa ujue??
Saa hizi we huwezi kulala na njaa mjini hapa, ushasafisha nyota tayari! lol.
mtaniona wapi nishahama mtaa
hahahaaa...... Sikuhizi anachungulia kama panya tunduni loooh, hadi huruma., ila mwenzio sikuhizi nawapotezea juu kwa juu....... Ila we endelea kuwaperekesha mpaka watambae, siri ntakufichia wii brazakaka hatojua!
halafu wewe......
eti kila siku utam unaongezeka tu...
basi tuonenajua pa kukupata wewe wala huniumizi kichwa
wii siku kaka ako akijua ataniufoo saro kabisa...endelea kunifichia siri
White haonekani jamani..nimemuonea huruma kikweli kweli ujue