Miss Curious mimi mgeni humu nahitaji marafiki Jamii forum

Miss Curious mimi mgeni humu nahitaji marafiki Jamii forum

Ndo mana napapenda jf..maana watu hawajivungi..
 
Nashukuru wote in general I cant repy everybody individualy but I am disaponted by some other members ambao wapo negative na nashangaa coz sijasign up nilikuwa nakutana na mawazo positive sana ya member wa jamii forum nikaamin kuwa ni kweli ni home of great thinker but kumbe hata slow learners wapo!!

But nashukuru kwa reply za kutosha ni faraja kwa new member natumai tutaendelea kuwa pamoja.
 
Sitaki mwanamke "mrembo" nahitaji mwanamke "Mzuri" .... Tunaoa wanawake "Wazuri" hatuoi wanawake "Warembo"
 
Superstar mwingine anaingia. Haya, karibu japo yaonekana wewe sio mgeni sana kama unavyotaka kutuaminisha. By the way ukileta bullshit u-miss wako hautasaidia humu ndani. Utanyooshwa.
 
Back
Top Bottom