Miss Curious mimi mgeni humu nahitaji marafiki Jamii forum

Miss Curious mimi mgeni humu nahitaji marafiki Jamii forum

Kama jina linavyojieleza mimi ni msichana mrembo sana nipo Dar es Salam napenda sana kujifunza hasa kutoka kwa critical thinkers!


Nafahamu yakuwa kuwa curious kuna negative na positive outcomes ila I am ready to deal with all that.


Nahitaji marafiki wa jinsia zote kunielekeza jinsi ya kutumia jf, kuweka profile picha, kuitalize, kuweka colour, kucite thread za nyuma but nina uwezo kidogo tu wa kupost new thread na kusoma coz nimekuwa nikiingia jf as a guest.

You are welcome guys.
warembo huwa hawajitangazi, mtu atakayekuona ukuapriciate mwenyewe sio wewe ujitangaze bibieeee,au umekosa soko ndo upo market now
 
Mara hii Pm yake imeshafikisha msg 16 duuhh
shikamoo Jf
 
Back
Top Bottom