Miss Kagera mwaka 1999, Bridgitte Buyuya afariki dunia. Azikwa makaburi ya Bunena, Bukoba

Sijui kwanini siku hizi makaburi yamekua na vimo vifupi sana kuliko zamani,sijui ni upungufu wa nguvu za mwili unaosababishwa na sababu mbalimbali,mi sijui,ok! R.I.P.
Hata maisha yenyewe ni mafupi kwanini makaburi yawe marefu?
 
Uchizi wako unajionesha kwa post zako za akili finyu... kifo ni anytime wacha tukufundishe mjinga.
 
Uchizi wako unajionesha kwa post zako za akili finyu... kifo ni anytime wacha tukufundishe mjinga.

Tafuta Tusi jingine Mkuu na siyo hilo jepesi la Mjinga kwani Psychologically tu Kila Binadamu ni Mjinga kuanzia Baba na Mama yako Mzazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…