Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuri wewe mrundi, huyu kafariki May.
Hata maisha yenyewe ni mafupi kwanini makaburi yawe marefu?Sijui kwanini siku hizi makaburi yamekua na vimo vifupi sana kuliko zamani,sijui ni upungufu wa nguvu za mwili unaosababishwa na sababu mbalimbali,mi sijui,ok! R.I.P.
mbona kazikwa na nguo?
Uchizi wako unajionesha kwa post zako za akili finyu... kifo ni anytime wacha tukufundishe mjinga.Hivi hii inakuwaje Marehemu Shose Fidelis yule Mwanadada Shabiki wa Simba SC aliyefariki katika ajali ya Gari na Yeye alizaliwa mwezi May na kafariki mwezi May na huyu nae naona hapo juu kuwa alizaliwa mwezi June na kafariki mwezi June. Hivi hapa huwa hakuna Maajabu fulani labda ya Kitamaduni kama siyo hata ya Kisayansi?
Uchizi wako unajionesha kwa post zako za akili finyu... kifo ni anytime wacha tukufundishe mjinga.