Miss Kenya na tuhuma za dhuluma dhidi ya mamiss wa Afrika

[emoji2][emoji2][emoji2] Wakenya bana kwani tunaongelea hela hapa ? Sawa anapesa kumshinda Uhuru na Ruto
Umefurahi sasa ?
Kwani walienda kwa mashindano kupigania upendo???

Smh hyo ni hela ameenda kutafuta na endorsement kama za victoria model


Wewe niambie Kati ya Miss Tanzania kwenye Kanda

Na miss Kenya
Hapa


Victoria secrets zikija kuwapa interview Unaona Nani atashinda???

The bitter loser or The humble winner ???
 
Reactions: MC7
Aliempa kibali kwenda huko nani? Mtaishia kusema wakenya wakenya cheki anavoongea tu unajua hakufaa hata kuwa miss loliondo#
Kwanza tusikimbilie kwenda kuwalaumu wakenya hapa hakuna ushahidi wowote so far kaongea yeye tu hao wengine aliowataja bado hawajasema kitu.asitugombanishe na wakenya bure wakati ushahidi haujatolewa tusije onekana wajinga jamani.cha pili angalieni hiyo make up hapo hao waliompeleka wafukuzwe ili makosa kama haya yasijirudie!
 
What's so special bout her that u find so appraising

Mosquito legs , a body full of bones na sura ndefu km karai...is that what you call beauty ama nimaphotoshoot ya studio yanakudanganya

The best thing Kenyan ladies can offer in terms of beauty is big forehead
 
Nikiangaliaga wanawake wanaosifiwa kuwa wazuri na Wakenya huwa nachoka kabisa...sasa huyu "zombie''si sawa na wale kina dada wanaoujiuza pale kimboka ambao wamechoka kwa maisha ya tabu na uvutaji sigara!
 
Angalia hao wanawake anaowaposti kwa mbwembwe nyingi wana sura mbaya(kwa standard za TZ).Kweli Kenya kuna wanawake wabaya ikiwa hao ndio wakali wao.
 
wapumbavu waendelee kulia lia....wakenya wataendelea tu kupaa juu....stop excuses...ata kwa vile unakaa hauja qualify kushinda taji lolote a urembo...
 
Hahha wenzetu wajanja usitegemeee suport komaa mwenyewe. Tatizo letu watz tunamtrust mtu kama ndugu yako. Aka tunashobokea sana watu
 
Jamani tuwe wakweli...
"Huyu dada alipitishwa kwa vigezo gn kuwa miss Tanzania?"
Maana bora hata ya mke wangu
 
Kila siku wakenya wakenya.. na wao wanalalamikaga watz watz? Ushindi wowote ni mbinu, kubali matokeo achana na vji7bu 7bab
 
Hivi unavalishwaje mavazi na Designer usiyemfahamu? Hakupata wa kutoka naye Tz?

Pili ilishindikanaje yeye kwenda kutetea idea yake kama alisikia mwenzake kadanganya?

Siku zote Watanzania tunadhulumiwa/kutapeliwa/kuibiwa kwa sababu ya kumuamini MTU yeyote kirahisi (Trust).
 
Mbali na kuibiwa ila huyu hakustahili hata kuwa Miss Tz. Inawezekana kweli hilo suala la kuibiwa idea ni sawa lakini naamini tukiacha maigizo na kuwa wahalisia tu hakuna namna huyu angeweza fanya vema huko kwa sababu hata hapa nyumbani ushindi wake kama ulikuwa wa ujanjaujanja flani hivi...
[HASHTAG]#Miss[/HASHTAG] World kwa kipindi hiki Watanzania nadhani tulipeleka na bidhaa mbovu zaidi, hivyo kutouzika sio suala la kushangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…