hehehe eti ngozi karne hii tena kwenye mashindano kama hayo... kuna mwingine kasema miss Africa ni kutufariji anasahau mabara yana wawakilishi, tabia ya kulalamika ikizidi hata uwezo wa kuchanganua facts unapungua kama sio kuisha
Hahahahaah hio ndoto ya kutisha umeitolea wapi?Miss Tanzania na ushindi wa miss world wapi na wapi,hapa bana kwa confidence mliokua mnampa angeingia japo top 30 ni kaushindi nako pia.
Mie mtanzania pyuuuuaaa kielellezo safi kabisa ambapo ushindi wetu upo kwenye UMBEA,UNAFIKI,MAJUNGU,WIZI WA KURA,UJINGA WA KUTAKA KUSIFIWA TUUUU. Proudly Tanzanian girl
Sasa huyo wako kashinda miss Uganda kawa miss world. Wewe wasema twapenda majungu na blah blah kibao sasa mbona wawajibu hao wapenda majungu. Tanzania ndo tulivo majungu haya ishi bora uhamie tu Uganda kuliko bora zaidi.
Kwanza miss world mmoja hzo nyingine ni ushuzi tu
Dont panic,ushuzi ndio huo unatutoa mapovu,hope hujaipigiza simu ukutani.
#Proudly Tanzanian girl#
Sijapanic chochote sasa mtu wajitoa ufahamu kisa u team only in Tzii mtu anashikiwa common sense yake eti na team. Think out of the box. Yani my wereva niipige ukutani kisa upuuzi sijafikiria mkuu
Hongera ka nakufuraisha. Hata sijishtukii hongera mganda usiyejishtukia. Nyie wenye utamu nyumbu huku jf you don't use logic chah yani unakana nchi yako kisa utimu. Facts zimeziweka sana tu..Hahaahhaa unanifurahisha daah another sifa ya kitanzania kujishtukia #nohardfeelings#uteam umeuweka wewe tangu mwanzo,hujaweka fact hata moja zaidi ya chuki tupu na word #rotation#
Hoja na panicking attack
Hongera ka nakufuraisha. Hata sijishtukii hongera mganda usiyejishtukia. Nyie wenye utamu nyumbu huku jf you don't use logic chah yani unakana nchi yako kisa utimu. Facts zimeziweka sana tu..
Hahaaaaa lazima niweke chupi tupu nianike mana sasa joto napigwa tu na upepo mwanana
Hoja na panicking attack
Cariha atakuwa ni mtu wa Kigoma maana ni mbishi sana. Mtapambana siku nzima hapa. [emoji3]
Hamna nchi isiyokwama USA taifa kubwa lakwama sembuse Tanzania ya dunia ya tatuHahahahah Nchi inakwanwa siasani,mpirani sembuse kwenye umiss pheeew next shindano nahamia nchi nyingine jiandae kunipa uraia mwingine shosti
Tangu mwanzo unalia utimu utimu,yeah kama ni utimu am man u fan,madridista wa maana bila kusahau CR7 fan wa ukweli
Asiejua maana usimpe maana kila MTU duniani anajua miss world in political kiasi flani na kuna kama watu flani hupewa..No attack we are arguing don't take personal
Asiejua maana usimpe maana kila MTU duniani anajua miss world in political kiasi flani na kuna kama watu flani hupewa..
Ukiangalia mwaka Jana kashinda miss India kutoka Asia na aliyetegemewa kushinda ni Miss Nepal ambaye naye katokea Asia yaani wakaamua makusudi kumueka miss Thailand katika continental beauties ili mmexico toka latino America ashinde...
Miss Nepal kashinda beauty with purpose ,multimedia awards na issue za tour ..fast tracks nyingine akafanya poa lakini akaekwa pembeni.. Yaani hiyo ni rotation tu ingawa kuna nchi ambazo ni powerhouse kama mexico, phillipines, India, South Africa na Venezuela ambao kwao kufika top 5 ni kawaida
Queen alikuwa ni strong contestant kwa mwaka huu ila maandalizi hakupata ya kutosha..Hahahahaah hio ndoto ya kutisha umeitolea wapi?Miss Tanzania na ushindi wa miss world wapi na wapi,hapa bana kwa confidence mliokua mnampa angeingia japo top 30 ni kaushindi nako pia.
Mie mtanzania pyuuuuaaa kielellezo safi kabisa ambapo ushindi wetu upo kwenye UMBEA,UNAFIKI,MAJUNGU,WIZI WA KURA,UJINGA WA KUTAKA KUSIFIWA TUUUU. Proudly Tanzanian girl