Miss Natafuta like you've never seen her before

Hahah ule wbobwa kiboya sanaa..
Kipindi yetu mzee Kinala alikuwa anauimba hatari. Ha ha ha
Sumbai kumbe naye mgalatia....kinala alikuwa anaupenda wakati anajua hatuupendi wala nini [emoji16][emoji16] ila aseeeh
 
Aisee mshana alikuwa mpole sana daah.
Akiongea ni kam naongea mwenyewe ila yule mzee poa sana
Kuna siku nilitoroka kuchunga then baadae nikafuata maziwa alimind mwisho kwa ile sauti yake aksema haya mwekee kidogo
 
Sumbai kumbe naye mgalatia....kinala alikuwa anaupenda wakati anajua hatuupendi wala nini [emoji16][emoji16] ila aseeeh
Aisee daby wewe utakuwa yule mshkaji wangu msabato alikuwa anatoka na mtoto wa Kinala.
Afu ulisoma HGE,
Yani kama ulivyo ni spy na mimi nakuspy.
Hahha ha ha !
 
Kuna siku nilitoroka kuchunga then baadae nikafuata maziwa alimind mwisho kwa ile sauti yake aksema haya mwekee kidogo
Dahhhhh hao Ngo'mbe kuna siku kwa hasira tuliwapeleka kwenye sehem hamna majan mchana kutwa kumbe kuna snich katuona.....

Tukarudia next day [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]

Hawakutoa maziwa
 
Aisee daby wewe utakuwa yule mshkaji wangu msabato alikuwa anatoka na mtoto wa Kinala.
Afu ulisoma HGE,
Yani kama ulivyo ni spy na mimi nakuspy.
Hahha ha ha !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahahahahaa kama nawaona vile mkivaa vimodo vyenu kwenda KO
 
Dahhhhh hao Ngo'mbe kuna siku kwa hasira tuliwapeleka kwenye sehem hamna majan mchana kutwa kumbe kuna snich katuona.....

Tukarudia next day [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]

Hawakutoa maziwa
Haha...
La galaxy ni nzuri aseeh...
Mazingira,majengo utafikir private.. sketi za KO vipi... ndiyo yalikuwa mambo ya Saint Ivuga hayo
 
MZ na KF walikuwa wanaringa saana si wakisure.
Yes.... Hao walikuwa wanaringa.....
Unawanunulia soda na Baga hawamalizi.....wanaacha...
Alafu hapo umeibana pocket money.
Wao wanaacha
 
Hahaha.... mwaka gan ulikuwepo? Jibu chemba kama utajali
 
Back
Top Bottom