Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Karibu miss
Na wengi hatukujui tungependa kukufahamu
Historian yako kwa ufupi

muosha rungu
 
First ilani:utajibu maswali ya members baadae miss

muosha rungu
 
Karibu miss
Na wengi hatukujui tungependa kukufahamu
Historian yako kwa ufupi

muosha rungu
mimi ni mwanamke wa kitanzania,muhenga flani hivi nimezaliwa miaka ya mwanzoni kwenye 80s. ni mpole sana achana na hizi drama za nyuma ya keybord
nimetokea katika familia ya kimaskini sana,so naishi maisha simple ya kitanzania.nimeajiriwa .sina familia,sina bwana hata boyfriend sina.Nampenda Mungu sana japo mimi sio mtu wa dini.napenda jiko kuliko chumbani.
marafiki zangu wanasema mimi ni mtu wa sura mbili,naweza kuwa the sweetest person ever ila muda huo huo nikawa ni mtu mbaya kuliko maana sijui kusamehe ukishanikosea basi ni ngumu kunirejesha ila ukiw ana piece na mimi utaenjoy ama the best friend ever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…