Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Acha nikubebe mgongoni mamii hata tabasam tu. [emoji6] [emoji6] [emoji6]Ila ule mnuno bado naendelea nao[emoji57][emoji57][emoji57]
Unamaanisha kwamba?Ewaaa
Team bamia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ningelikwambiaa imeishaa
Ameyajibu yoote pale mwanzoni, mie yangu yanahusu malezi Zaidi na kasema hana mtoto. Kazi hajasema ko sina swali leoLa kwako liko wapi wewe?
Hahahaaa sawa bwana, sema kwa mbiti siku hiz naona malue malue tu kuna watu wasiojulikana wamemubadilisha mawazo
ahahaaaa hata bibi kizee alikuwaga bikra bna. ilitokea na mtu mwenyewe namkumbuka ila sio kiivo wala simpendi wala haitokaa niwe nae tenaMiss Natafuta, uliwahi kuchafua shuka nyeupe kwa madoadoa mekundu? Ilikuwa link na wapi? Aliyesababisha unamkumbuka?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]honestly kiroho safi kabisa huwa namuappreciate kila mtu humu ndani.hata mtu nikigombana nae ni ile tu nyuma ya keybord ila sina kiburi au kinyongo cha ndani nae.japo kuna watu wanaoniudhi kwa kuniita Malaya as if nishawai kulala nao ,ila kila mtu humu mi nampenda tu japo kuna mashost zangu humu ndani nawaitaga wambea wenzangu ahahaa acha tu sitaki kuwataja
Hahahah! Miss hao vifaranga bado hawajakua tu!?naomba kwenye taaluma nisiseme .ila kwa sasa nimeajiriwa .japo nina mradi wangu wa kuku mmoja na vifaranga kumi .nina plan ya kuanzisha mradi mkubwa bado najipanga kuraise capital.
[emoji41][emoji41][emoji41]ahahaa inaitwa kuliwa kwa mtaji shogaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sipati picha ulivyokua unaondokaahahaa inaitwa kuliwa kwa mtaji shogaa
[emoji30][emoji30][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ni wew au kuna mtu kadukuwa simu yako
HahahaMuulize dada yake hebu kama ameshalisha kuku? [emoji3][emoji3]
Mpaka raha leo kupatwa kwa muosha masufuria [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Moto wa kuotea mbali, hii spidi ni ya kiwango cha lami
Kashanitafuta sana sema nilivurugwa ile jpili nadhani unakumbuka hadi ukaniitia mama mchungaji ila saiv narudi kwny mudi yangu ileeeeeeeeehahhhahahah DJ Sepetu naomba wknd muintavyuu huyu mrembo jaman yaan haachi kunichekeshaga mie !
hehehehe kapeace naona unanirusha rohp tu dadek !upweke huu shubamit
Hahahaaa. Hivi sijawahi danganya eeee.Huyu hajawahi kudanganya.
Nilisema nitapata mengi kuhusu mdada.
Keep it up Miss Natafuta
Aah kumbe ulituwahia mdau![emoji106]Cc Shunie
Emmyta
Neybright
Youngblood
Carba
Linamo
Stable woman
Ukhuty
Sergio 5
ahaaa itabidi tuazimane ajay sinza kaleta mashati mazuri balaaHayo mawazi yangu bi shost...
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]chitakiAcha nikubebe mgongoni mamii hata tabasam tu. [emoji6] [emoji6] [emoji6]