Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

honestly kiroho safi kabisa huwa namuappreciate kila mtu humu ndani.hata mtu nikigombana nae ni ile tu nyuma ya keybord ila sina kiburi au kinyongo cha ndani nae.japo kuna watu wanaoniudhi kwa kuniita Malaya as if nishawai kulala nao ,ila kila mtu humu mi nampenda tu japo kuna mashost zangu humu ndani nawaitaga wambea wenzangu ahahaa acha tu sitaki kuwataja
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
naomba kwenye taaluma nisiseme .ila kwa sasa nimeajiriwa .japo nina mradi wangu wa kuku mmoja na vifaranga kumi .nina plan ya kuanzisha mradi mkubwa bado najipanga kuraise capital.
Hahahah! Miss hao vifaranga bado hawajakua tu!?

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom