Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
nitakuwaje na hisia na watu siwajui?Kwa nini muda mwingine unasema huna hisia na sisi wanaume nini shida??
kipi unavunia na kipi unajutia??mimi ni mwanamke wa kitanzania,muhenga flani hivi nimezaliwa miaka ya mwanzoni kwenye 80s. ni mpole sana achana na hizi drama za nyuma ya keybord
nimetokea katika familia ya kimaskini sana,so naishi maisha simple ya kitanzania.nimeajiriwa .sina familia,sina bwana hata boyfriend sina.Nampenda Mungu sana japo mimi sio mtu wa dini.napenda jiko kuliko chumbani.
marafiki zangu wanasema mimi ni mtu wa sura mbili,naweza kuwa the sweetest person ever ila muda huo huo nikawa ni mtu mbaya kuliko maana sijui kusamehe ukishanikosea basi ni ngumu kunirejesha ila ukiw ana piece na mimi utaenjoy ama the best friend ever
Hahah tunafurahi sikia kuwa mpole!mimi ni mwanamke wa kitanzania,muhenga flani hivi nimezaliwa miaka ya mwanzoni kwenye 80s. ni mpole sana achana na hizi drama za nyuma ya keybord
nimetokea katika familia ya kimaskini sana,so naishi maisha simple ya kitanzania.nimeajiriwa .sina familia,sina bwana hata boyfriend sina.Nampenda Mungu sana japo mimi sio mtu wa dini.napenda jiko kuliko chumbani.
marafiki zangu wanasema mimi ni mtu wa sura mbili,naweza kuwa the sweetest person ever ila muda huo huo nikawa ni mtu mbaya kuliko maana sijui kusamehe ukishanikosea basi ni ngumu kunirejesha ila ukiw ana piece na mimi utaenjoy ama the best friend ever
Ukiona hivo ujue yupo karibu na nissan nyeupe.Ooh shem mbona unaandika kwa haraka hivyo..kuna usalama kweli
Halafu bibie JF kuna option ya kuedit. Kwahio ukikosea typo unaedit sio kujaza comment ya pili.
kwa hiyo ina maana hujui mwanaume hadi leo?? be seriousnitakuwaje na hisia na watu siwajui?
HahahaUkuona hivo ujue yupo karibu na nissan nyeupe.
Upendo ni tiba.
undergraduate .nimesoma mojawapo ya chuo kikuu kimoja kikongwe hapa nchini.ukichukua vyuo vikuu vitano au hata vitatu tu kipo .naomba nisikitajeHahah tunafurahi sikia kuwa mpole!
Una elimu gani l mean taaluma
Na sasa unafanya shughuli zip
muosha rungu
kwa nini unapenda jiko kuliko chumbani??nitakuwaje na hisia na watu siwajui?
Taaaluma gani/ujuzi??undergraduate .nimesoma mojawapo ya chuo kikuu kimoja kikongwe hapa nchini.ukichukua vyuo vikuu vitano au hata vitatu tu kipo .naomba nisikitaje
nina mambo mengi ya kujivunia maishani .kama kuwa na wazazi wazuri,ndugu wazuri wanaonipenda,elimu,afya mengi tu.yapo pia mambo mengi naregret but that's life sina la kufanya wala siyapi nafasi.naangalia mambo mazuri yaliyopo mbele yangu na sio mabaya ambayo yalishapitakipi unavunia na kipi unajutia??
Hongera sana, kimalengo unajiona wapi miaka mitano ijayo??nina mambo mengi ya kujivunia maishani .kama kuwa na wazazi wazuri,ndugu wazuri wanaonipenda,elimu,afya mengi tu.yapo pia mambo mengi naregret but that's life sina la kufanya wala siyapi nafasi.naangalia mambo mazuri yaliyopo mbele yangu na sio mabaya ambayo yalishapita
naomba kwenye taaluma nisiseme .ila kwa sasa nimeajiriwa .japo nina mradi wangu wa kuku mmoja na vifaranga kumi .nina plan ya kuanzisha mradi mkubwa bado najipanga kuraise capital.Hahah tunafurahi sikia kuwa mpole!
Una elimu gani l mean taaluma
Na sasa unafanya shughuli zip
muosha rungu
Vitu gani unapenda hapa JF na vipi unavichukia??nitakuwaje na hisia na watu siwajui?
kuwajua nawajua si mpo kila mahali mkuu au kuwajua kivipi?kwa hiyo ina maana hujui mwanaume hadi leo?? be serious