Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

mimi ni mwanamke wa kitanzania,muhenga flani hivi nimezaliwa miaka ya mwanzoni kwenye 80s. ni mpole sana achana na hizi drama za nyuma ya keybord
nimetokea katika familia ya kimaskini sana,so naishi maisha simple ya kitanzania.nimeajiriwa .sina familia,sina bwana hata boyfriend sina.Nampenda Mungu sana japo mimi sio mtu wa dini.napenda jiko kuliko chumbani.
marafiki zangu wanasema mimi ni mtu wa sura mbili,naweza kuwa the sweetest person ever ila muda huo huo nikawa ni mtu mbaya kuliko maana sijui kusamehe ukishanikosea basi ni ngumu kunirejesha ila ukiw ana piece na mimi utaenjoy ama the best friend ever
kipi unavunia na kipi unajutia??
 
Hahah tunafurahi sikia kuwa mpole!
Una elimu gani l mean taaluma
Na sasa unafanya shughuli zip

muosha rungu
 
kipi unavunia na kipi unajutia??
nina mambo mengi ya kujivunia maishani .kama kuwa na wazazi wazuri,ndugu wazuri wanaonipenda,elimu,afya mengi tu.yapo pia mambo mengi naregret but that's life sina la kufanya wala siyapi nafasi.naangalia mambo mazuri yaliyopo mbele yangu na sio mabaya ambayo yalishapita
 
Hongera sana, kimalengo unajiona wapi miaka mitano ijayo??
 
Back
Top Bottom