Anasoma kwanza, ujue ukipitwa parefu unachanganyikiwa kabisaa..... Mie naanziaga mwisho kwanza
Poa ila punguza kuongozwa nahisia mkuuNimeshafuta bandiko langu.
Ila ninavyojua mimi huyo ni Me .
Umenikumbusha mbaliiiiiii[emoji4][emoji4][emoji4]Haya maisha bwanaa.....weee achaaa
Kinacheza km sungura achezeshavyo midomo yakeHuku ninaiangalia!! Kitu che...Ku..nd..u!!
muosha rungu
Haaaaa yani sitaki mwanaume wakupishana kwenye maduka ya cosmetics[emoji23] [emoji23] [emoji23]Au shem ni Ben 10 [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mpe siku yake umfanyie interview we muosha masufuriaTulia nimfaudu kapeace!
muosha rungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anasoma kwanza, ujue ukipitwa parefu unachanganyikiwa kabisaa..... Mie naanziaga mwisho kwanza
Uwiiiii baba d mbona unataka kuvunja ndoa yangu lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usinambie mchepuko unaingiza mpaka ndan
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani mnanifurahisha mjueNdio na leo umemuambia mnuno unaendelea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asantesura ,umbo singalii
moyo awe na moyo wa upendo
kipato ,chochote tutasaidiana ila ajue majukumu yake ya familia mimi ni msaidizi tu. asiwe mlevi mengine tutarekebishana
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Aisee ebu aulize maswali yake jamaan leo tunaweza mpoteza muosha masufuria
Apotee mara ngapi sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee ebu aulize maswali yake jamaan leo tunaweza mpoteza muosha masufuria
WoooiiiHata me naona dada ujue
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]OK sawa na salamu zangu mfikishie yule mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana achana na marioo ujue cuzoo huyo Ben 10Haaaaa yani sitaki mwanaume wakupishana kwenye maduka ya cosmetics[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama mie mmeniacha tayariYani ukichelewa dk 1 umeachwa mbali sana
kama nikipata baba bora watatu inshalahAsante
Una mpango wa kuwa na watoto wangapi
Na leo kaambiwa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] atatuulia shemela wetuNdio na leo umemuambia mnuno unaendelea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huna swali kweeeliLeo interview inafurahisha sana wii