Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Nothing to it but growing, to some of us. Fikra zinatanuka, mawazo yanabadilika, na mazingira kwa ujumla. Niliyekuwa namchukulia kama role model juzi, leo ameshuka kwenye listi na wengine wapya wamechukua nafasi. Plus I simply never fully felt the energies that came with the previous ones.

P.S. Got a little knowledge on profiling and psychology and I was simply warning y'all about the character of the moment, without disturbing the peace. My mistake you feel some type of way.
You took it way too serious....
 
You took it way too serious....

No sh!t. You wanted explanations, same way I wanted explanations initially. Actually, you took a shot bruh(like I did), and I thought maybe I touched one of your interests so I had to let you in on the game.
 
No sh!t. You wanted explanations, same way I wanted explanations initially. Actually, you took a shot bruh(like I did), and I thought maybe I touched one of your interests so I had to let you in on the game.
Holy molly...one of my interests.....TGIF
 
1) kwa sasa ni vitu gani bila kua navyo katika maisha yako unaona maisha kama vile yamesimama
2) ushawai kuchukuliwa mpenzi wako na rafiki yako wa kike
 
Kuwa host siwezi nilikuwa na maswali yangu machache nashukuru yamejibiwa..Sina tatizo na mtu yeyote, samahani kwa niliowavurugia utaratibu
Alfu jarbu kubadlisha maswali hasa lile ulilokalili ambalo linasema hivi.
Unamipango gani kwa miaka 4
Hilo watu wamelizoa
 
nilishawai kujihusisha kimapenzi na wanaume kadhaa
changamoto ni nyingi. mfano kazi nyingi kipato kidogo,kukosa muda wa kupumzika saa zingine kama wkend unapoitajika ofsini, kuchukiwa na baadhi ya staff bila sababu
napenda sana kula kula siwezi kukaa muda mrefu bila kula kwa kweli japo sili portion kubwa
napenda kupika na kujifunza mapishi mapya in town
napenda movies
napenda kuogelea
napenda kusikiliza nyimbo any nice song any style
napenda urembo
napenda sana shoping hata kama ni window shoping


team.....
 
1)je ukiwa kama mlipa kodi wa nchi hii je kodi unaona inatumika ipasavyo.

2)kwako maana ya real love ni nini
 
Back
Top Bottom