You took it way too serious....Nothing to it but growing, to some of us. Fikra zinatanuka, mawazo yanabadilika, na mazingira kwa ujumla. Niliyekuwa namchukulia kama role model juzi, leo ameshuka kwenye listi na wengine wapya wamechukua nafasi. Plus I simply never fully felt the energies that came with the previous ones.
P.S. Got a little knowledge on profiling and psychology and I was simply warning y'all about the character of the moment, without disturbing the peace. My mistake you feel some type of way.
You took it way too serious....
Holy molly...one of my interests.....TGIFNo sh!t. You wanted explanations, same way I wanted explanations initially. Actually, you took a shot bruh(like I did), and I thought maybe I touched one of your interests so I had to let you in on the game.
Kuwa host siwezi nilikuwa na maswali yangu machache nashukuru yamejibiwa..Sina tatizo na mtu yeyote, samahani kwa niliowavurugia utaratibuWewe unavuruga utaratibu. Next time uwe host basii.
wa kunipiga masuprise kwenye birthday or anniversaries.mazawadi kama ligari hivi,new brand kitchen,etcmiss natafuta, name ua three fantacies in men
uliza tu mkuuMaswali vipi ruksa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]Wewe unavuruga utaratibu. Next time uwe host basii.
Kweli hizo ni fantansy tu...wa kunipiga masuprise kwenye birthday or anniversaries.mazawadi kama ligari hivi,new brand kitchen,etc
anibembeleze hadi nilale huku ananiimbia .
Sijaona swali lako pendwa kuhusu CHURA![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
Alfu jarbu kubadlisha maswali hasa lile ulilokalili ambalo linasema hivi.Kuwa host siwezi nilikuwa na maswali yangu machache nashukuru yamejibiwa..Sina tatizo na mtu yeyote, samahani kwa niliowavurugia utaratibu
ndo hivo mkuu haitokaa itokee atiKweli hizo ni fantansy tu...
namba moja .labda uhai tu mkuu as long Mwenyenzi Mungu kanipa uhai lazima maisha yaendelee1) kwa sasa ni vitu gani bila kua navyo katika maisha yako unaona maisha kama vile yamesimama
2) ushawai kuchukuliwa mpenzi wako na rafiki yako wa kike
Miss alishaniambia siku nyingi kuwa chura ipo,hapa nilipo nimebakia tu kuweweseka!!Sijaona swali lako pendwa kuhusu CHURA!
Never say never!ndo hivo mkuu haitokaa itokee ati
Unahitaji kuwa na men wa aina gani?uliza tu mkuu
nilishawai kujihusisha kimapenzi na wanaume kadhaa
changamoto ni nyingi. mfano kazi nyingi kipato kidogo,kukosa muda wa kupumzika saa zingine kama wkend unapoitajika ofsini, kuchukiwa na baadhi ya staff bila sababu
napenda sana kula kula siwezi kukaa muda mrefu bila kula kwa kweli japo sili portion kubwa
napenda kupika na kujifunza mapishi mapya in town
napenda movies
napenda kuogelea
napenda kusikiliza nyimbo any nice song any style
napenda urembo
napenda sana shoping hata kama ni window shoping