Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1]asante ila msiniulize maswali magumu sipendi kusema uongo
Ooh shem mbona unaandika kwa haraka hivyo..kuna usalama kweli
Unatukaribisha ila usizingue kama jana sasaMambo members!
Leo in the house tunaye miss Natafuta!
Karibuni sana!!!
muosha rungu
mimi ni mwanamke wa kitanzania,muhenga flani hivi nimezaliwa miaka ya mwanzoni kwenye 80s. ni mpole sana achana na hizi drama za nyuma ya keybordKaribu miss
Na wengi hatukujui tungependa kukufahamu
Historian yako kwa ufupi
muosha rungu
sijawai kujali kutendwa .kama mtu hakutaki utamfanya nini? mimi nimuelewa sanaMara yako ya kwanza kutendwa ulijisikiaje??