Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Aisee kumbe huna boyfriend

Sent using Jamii Forums mobile app
sina am single and lonely
Ni mavazi ya aina gani ambayo ukivaa unajihisi kweli hapa nimevaa na nimependeza??
suruali ya kitambaa na shati la mikono mirefu,gauni fupi la kitenge lililochanua maana nina mguu wa hatare. hayo tu mkuu
Kuna vigezo gani vipya kwa sisi tunaonyapia nyapia papuchi na kusepa na kukuacha wewe na njaa yako mjini?
sipendi vibaka wa papuchi
 
Miss Natafuta kwa nini unachukia wanaume ebu leo elezea mamy kama kuna mtu kauliza hili swali nisamehe
utakuwa haupo sahihi kusema nawachukia wanaume.kutokuwa kwenye mahusiano sio kuwachukia wanaume shunie.wapo watu wapo kwenye ndoa na wanawachukia wanaume.be specific na unachotaka kuniuliza my
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Hii naikubali kwa 100% na sijawahi kusema sehemu ila nilijiridhisha siku ile moja tuliyopiga story sehemu. Japo zilikuwa chache kwanza sikutegemea kama we ni mtu wa aina ile na ungenipokea vile.

Hongera sana ndio mana watu wakikuongelea vibaya huwa najikalia kimya huku ukweli ninao moyoni.

Nilikukubali kimya kimya lol.
Huyu hajawahi kudanganya.

Nilisema nitapata mengi kuhusu mdada.

Keep it up Miss Natafuta
 
sina am single and lonely
suruali ya kitambaa na shati la mikono mirefu,gauni fupi la kitenge lililochanua maana nina mguu wa hatare. hayo tu mkuu
sipendi vibaka wa papuchi
Ok, kutongozwa kwa mwanamke ni kitu cha kawaida sana, tuambie siku ya kwanza kutongozwa ilikuwaje na ulijisikiaje...na je mara ngapi kwa siku wanakutongoza mrembo wewe??
 
Back
Top Bottom