Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Kwa mfano ingeandaliwa JF TOGETHER PARTY, ni member gani ambaye ungetoka nae??

Na je Members gani wawili KE NA ME wanaokuvutia humu jukwaani ??
honestly kiroho safi kabisa huwa namuappreciate kila mtu humu ndani.hata mtu nikigombana nae ni ile tu nyuma ya keybord ila sina kiburi au kinyongo cha ndani nae.japo kuna watu wanaoniudhi kwa kuniita Malaya as if nishawai kulala nao ,ila kila mtu humu mi nampenda tu japo kuna mashost zangu humu ndani nawaitaga wambea wenzangu ahahaa acha tu sitaki kuwataja
 
f02da813767add39f6c9036652f9aa4d.jpg
Ninavyofatilia hii interview
[emoji30][emoji30][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ni wew au kuna mtu kadukuwa simu yako
 
Mkuu Kuna kibamia kitamu huku ntakupasia walau kikupoze kiu yako, yan umenifanya nikikumbuke kibamia changu wikendi kitanikoma kudadeki

Sent using Jamii Forums mobile app


hahhhahahah DJ Sepetu naomba wknd muintavyuu huyu mrembo jaman yaan haachi kunichekeshaga mie !
hehehehe kapeace naona unanirusha rohp tu dadek !upweke huu shubamit
 
Back
Top Bottom