Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Miss Natafuta live interview on DJ sepetu show!

Leo mmeniangusha mjue. Inakuwaje wote tunakuwa busy kukanda unga tunasahau kuweka data zetu on na kuchungulia chungulia habari mpya.

Mmeniangisha banaaa. Japokuwa mmefika ila. Mmmhh.

Ila nawapenda sana jamani hata sijui kwa nini. [emoji8] [emoji8]

Bila kumsahau Ney bright
Nakupenda mamy si unajuaee[emoji182] [emoji182] [emoji182]
 
93a3785cb73204fe844deb74c3e82955.jpg
Doh yani baba D unajua kuniandama[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Shunie ukuje umchukue mtu wako huku
 
Back
Top Bottom