unafuatilia habari za mtu mwenye fake id hivi unajua kuwa miss natafuta na mwanaume kabisa anajifanya dem
Yarabi tobaaaunafuatilia habari za mtu mwenye fake id hivi unajua kuwa miss natafuta na mwanaume kabisa anajifanya dem
nimembaini kwa kutumia mbinu zangu binafsi usiulize kivipi ila jua miss natafuta ni mwanaume na ntakupa jina analotumia instagram,huyu hana tofauti na shilole kiuno wa instaMmh mgeni mwenzangu umekuja kasi muda si mrefu umeanzisha thread ya utambulisho mara hii umeshamfatilia miss natafuta kujua kama ni mwanaume au mwanamke.
Unachafua ID za watu
unafuatilia habari za mtu mwenye fake id hivi unajua kuwa miss natafuta na mwanaume kabisa anajifanya dem
sijawahi kujiunga na jf hii ni akaunti yangu ya kwanza kabisa,naitwa mshana jeremy raymond mshana au kifupi mshanajr ukipendaMshana Jr hii ni ID yako mpya?
Kweli kabisa mkuu, haujakoseamshana ni jina la ukoo wetu we ulitaka nijiiteje ndugu kwanza ndo nimejiunga jf sikujua kuna mtu anaitwa mshana humu
Au kuna waliomsihi asifanye hivyo, akawaonea huruma. Warembo wachache humu. Aah aah aah!Kupitia Uzi wake wa Jana tarehe 31.12.2016 mrembo maarufu jf ajulikanaye kwa jina la miss natafuta aliueleza umma wa jf kwamba ameamua Ku block account yake ya jf na kujikita katika kuendeleza familia yake
Cha kushangaza Leo ameonekana akitoa comments kwa jina lile lile katika habari mbali mbali hapa jf
Je huyu tuendelee kumwamini tena??
1.1.2017
umejuaje kama huyo miss ni dume kama umejiunga leo?sijawahi kujiunga na jf hii ni akaunti yangu ya kwanza kabisa,naitwa mshana jeremy raymond mshana au kifupi mshanajr ukipenda
utajua tuumejuaje kama huyo miss ni dume kama umejiunga leo?
Umepiga ramli[emoji15] [emoji15] [emoji15]
ramli uliyopiga imekudanganya
Wabongo tuna tatizo hili sana. Mmoja akilima matikiti maji basi wote wanavamia mpaka biashara inakuwa zero kwa sababu market inakuwa flooded. Halafu tena tunaanza kulalamika eti serikali haiwajali wakulima wa matikiti maji. Ni copy and paste kila kitu hata bila kuangalia undani na madhara yake.
Ati kabila lake ni lipi? Ushindwe na ulegee mkuu [emoji34][emoji34][emoji34]Miss Natafuta ni mwanaume ila Bahati mbaya ni Shoga, anaishi Kinondoni mkwajuni ,namjua vema. Jamaa siyo rizki !!
Kabila lake msukuma, alifikiaga Kitanda alivyotoka Mwanza na baadae biashara ilivyonoga akahamia Mkwajuni.
God have mercy to miss natafuta
Mr.Natafuta ni ID yangu ya tatu mkuu![emoji1]Laa haulaaa..!!!!!!
Halafu kuna Mr Natafuta,je,ni mtu mmoja au ni tofauti?
It takes one to know one! Don't misjudge my statement umemjuaje mkuuu? anyway asante kwa taarifa kumbe kuna majini watu humu! Handle everybody with care and wisdom kama mambo yenyewe ndio haya!Miss Natafuta ni mwanaume ila Bahati mbaya ni Shoga, anaishi Kinondoni mkwajuni ,namjua vema. Jamaa siyo rizki !!
Kabila lake msukuma, alifikiaga Kitanda alivyotoka Mwanza na baadae biashara ilivyonoga akahamia Mkwajuni.
God have mercy to miss natafuta
Naomba tupia picha yake hapa mkuu!siku mkijilengesha kwa miss natafuta mtajuta,ni mwanaume jamani anakaa kinondoni na huwa anashinda sana pale mwenge vinyago
Karibu sana, ila usisahau kuja na maji ya kunywa.jf kuna mengi kakijj fulan amaizing