Miss natafuta wa JF audanganya umma

Miss natafuta wa JF audanganya umma

Mamaa Fb. Nafurahi sana kukuona hapa JF.
Inawezekana huyo ni mwenyeji kabisa with new ID ubaya wa id mbili atasahau siku atajijibu
Kabisaaa na anamwaribia mshana jr [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwa nini unafurahi kuniona hapa jf??
 
Ujue mimi nlikuwa nawachora tu wanavyoropoka kuhusu mtu wangu wa nguvu .
Sikujua kama kuna watu wataamini huo uzushi.
Watu wa ajabu sana,
Yani tumekaa na Miss Natafuta kwa muda mrefu sana hapa afu mtu anakutana na uzushi anaamini bila ku judge.
Bora wewe umetuondolea utata huuu maana Hali ilishakua mbaya
 
Sio mwanaume bwana mimi namfahamu kibonge wangu afu mtamu kama nini anajituma sana.
Kaweka picha yake halisi kwene profile picha
Ni very charming na anajitambua, anapenda utani .
Na haogopi kitu.
Mimi nimekutana naye kwa hio huyo jamaa anayesema mengine mwambieni aache uzushi.
Na Miss Natafuta hakai huko mkwajuni kwa wanyasa.
Anakaa sayansi.
Bado mnataka maelezo mengine? Ningeweka picha ila yeye mwenyewe kaweka picha yake sasa mimi nitaweka nyingine ya nini?
Afu nlisahau Miss Natafuta anapenda sana golf.
Hivi golf wanachezaga wanawake?
 
Anajua mengi kweli. Ila nahisi hawa vidume walimtongoza miss natafuta akawatolea nje sasa wanampa presha ya kumsingizia. Hata kama ni dume so what haiwahusu. Tatizo itakua wanalazimisha aonane nao uso kwa uso(danger)
kuna watu washamba sana mkuu? labda walitaka niwatongoze
 
wajinga tu hao wala sina muda wa kuwajibu.ningekuwa me si ningeshakutongoza?
Bibiye una subira siwezi kuamini... Bado kidogo niapply the general rule "silence means acceptance" ......endelea kuwapiga vibuti... Sipendi tabia ya kuonjaonja.
 
Back
Top Bottom