Sio mwanaume bwana mimi namfahamu kibonge wangu afu mtamu kama nini anajituma sana.
Kaweka picha yake halisi kwene profile picha
Ni very charming na anajitambua, anapenda utani .
Na haogopi kitu.
Mimi nimekutana naye kwa hio huyo jamaa anayesema mengine mwambieni aache uzushi.
Na
Miss Natafuta hakai huko mkwajuni kwa wanyasa.
Anakaa sayansi.
Bado mnataka maelezo mengine? Ningeweka picha ila yeye mwenyewe kaweka picha yake sasa mimi nitaweka nyingine ya nini?
Afu nlisahau
Miss Natafuta anapenda sana golf.