Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mmh mgeni mwenzangu umekuja kasi muda si mrefu umeanzisha thread ya utambulisho mara hii umeshamfatilia miss natafuta kujua kama ni mwanaume au mwanamke.
Unachafua ID za watu
Unachafua ID za watu
unafuatilia habari za mtu mwenye fake id hivi unajua kuwa miss natafuta na mwanaume kabisa anajifanya dem