mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,536
Kabisaaa na anamwaribia mshana jr [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwa nini unafurahi kuniona hapa jf??Mamaa Fb. Nafurahi sana kukuona hapa JF.
Inawezekana huyo ni mwenyeji kabisa with new ID ubaya wa id mbili atasahau siku atajijibu
Bora wewe umetuondolea utata huuu maana Hali ilishakua mbayaUjue mimi nlikuwa nawachora tu wanavyoropoka kuhusu mtu wangu wa nguvu .
Sikujua kama kuna watu wataamini huo uzushi.
Watu wa ajabu sana,
Yani tumekaa na Miss Natafuta kwa muda mrefu sana hapa afu mtu anakutana na uzushi anaamini bila ku judge.
Hivi golf wanachezaga wanawake?Sio mwanaume bwana mimi namfahamu kibonge wangu afu mtamu kama nini anajituma sana.
Kaweka picha yake halisi kwene profile picha
Ni very charming na anajitambua, anapenda utani .
Na haogopi kitu.
Mimi nimekutana naye kwa hio huyo jamaa anayesema mengine mwambieni aache uzushi.
Na Miss Natafuta hakai huko mkwajuni kwa wanyasa.
Anakaa sayansi.
Bado mnataka maelezo mengine? Ningeweka picha ila yeye mwenyewe kaweka picha yake sasa mimi nitaweka nyingine ya nini?
Afu nlisahau Miss Natafuta anapenda sana golf.
ahahaaa una wasiwasi na jinsia yangu shosti?Kwa Hilo sifaham ila me awe dume jike Miss Natafuta sion Shida a ndivo alivyojichagulia Kuna Mambo yanafaa kuyaacha kama yalivyo haikua na haja ya hii thread n bas tu
kuna watu washamba sana mkuu? labda walitaka niwatongozeAnajua mengi kweli. Ila nahisi hawa vidume walimtongoza miss natafuta akawatolea nje sasa wanampa presha ya kumsingizia. Hata kama ni dume so what haiwahusu. Tatizo itakua wanalazimisha aonane nao uso kwa uso(danger)
As long as umejiita miss n kielelezo kwangu tosha we n ke lakini watu wanavojadili jinsia Yako n balaa? Sjawah kukufikiria kama ungekua mwanammeahahaaa una wasiwasi na jinsia yangu shosti?
wajinga tu hao wala sina muda wa kuwajibu.ningekuwa me si ningeshakutongoza?As long as umejiita miss n kielelezo kwangu tosha we n ke lakini watu wanavojadili jinsia Yako n balaa? Sjawah kukufikiria kama ungekua mwanamme
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahhahahahhahawajinga tu hao wala sina muda wa kuwajibu.ningekuwa me si ningeshakutongoza?
Nakupenda sana tu napenda attitude yako.Kabisaaa na anamwaribia mshana jr [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwa nini unafurahi kuniona hapa jf??
Mbona wanacheza sana tu!!Hivi golf wanachezaga wanawake?
...upo?Hahaaa mbavu zangu...ukaamua kumfungulia thread kabisa ...kha
Bibiye una subira siwezi kuamini... Bado kidogo niapply the general rule "silence means acceptance" ......endelea kuwapiga vibuti... Sipendi tabia ya kuonjaonja.wajinga tu hao wala sina muda wa kuwajibu.ningekuwa me si ningeshakutongoza?
Sasa mods wanafanya kaz ganHuyu si mshana jr original, kaiba id
we mwiziutajua tu
Kabila lake ni M-push[emoji85]Ati kabila lake ni lipi? Ushindwe na ulegee mkuu [emoji34][emoji34][emoji34]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mr.Natafuta ni ID yangu ya tatu mkuu![emoji1]
Hata wewe ushindwe na ulegee mkuu!Kabila lake ni M-push[emoji85]
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]natambua asante mkuuu nakupenda piaaNakupenda sana tu napenda attitude yako.
Ujue unaweza kumjua mtu alivyo kupitia post zake hapa.
mkuu mimi huwa nina principle moja pamoja na udhaifu wangu mwingine huwa sijali mtu ananiwazia nini as long sina habari nae wala hana faida kwanguBibiye una subira siwezi kuamini... Bado kidogo niapply the general rule "silence means acceptance" ......endelea kuwapiga vibuti... Sipendi tabia ya kuonjaonja.