Miss natafuta wa JF audanganya umma

Mie mwenyewe simwelewagi kabisa huyo mdada nahisi ni dume au zombie au msukule wa yule mzee naniliu.[emoji40]
 
mimi nilivyosema anakaa kinondoni wakabisha bora uwaambie wewe,kwa taswira anafanana sana na shilole kiuno au james delicious na wala sio yule aliyejiweka kwenye picha miguu kama tendegu
 
Mimi kama kuna mtu ninayemuombea mabaya ni mkuu wa ganja au kijamaika kaya akifuatiwa na Faiza Foxy yani huyu bibi ananikera sana

Ningekuwa ngariba faiza Foxy ungenikoma ningekukeketa kwa kucha
 
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂 mkuu punguza hasira duuh umkekete kwa kucha

Ningekuwa ngariba faiza Foxy ungenikoma ningekukeketa kwa kucha[/QUOTE]
 
mimi nilivyosema anakaa kinondoni wakabisha bora uwaambie wewe,kwa taswira anafanana sana na shilole kiuno au james delicious na wala sio yule aliyejiweka kwenye picha miguu kama tendegu
We jamaa Punguza huo umuch know tunakuchora Ulivyo Mapepe kama miss natafuta.
 
mimi nilivyosema anakaa kinondoni wakabisha bora uwaambie wewe,kwa taswira anafanana sana na shilole kiuno au james delicious na wala sio yule aliyejiweka kwenye picha miguu kama tendegu

Ha ha ha, ana kiuno vizuri kama James delicious
 
Unaelements za kimbeya
 
Tatizo mnaamini kua uyu ni binti kweli wakati ni kidume mwenzetu tuko nae maskani Argentina hapa naona anawavizia maboya wajichanganye ili awatapeli.
 
sijawahi kujiunga na jf hii ni akaunti yangu ya kwanza kabisa,naitwa mshana jeremy raymond mshana au kifupi mshanajr ukipenda
Aiseee uwe unajitahidi basi ,unapo badilisha ID isiendane na personality ya ID ya zamani ,hichi kichwa hichi ! Dah
 
unafuatilia habari za mtu mwenye fake id hivi unajua kuwa miss natafuta ni mwanaume kabisa anajifanya dem
kuna demu na mwanamke? Asante kwa kunifamisha mkuu[emoji124] taratibu ................nafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…