Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
ingia play store, andika neno Jamii forums itatokea alama (symbol) ya Jamii Forums halafu install, halafu ukimaliza rudisha simu kwenye hali ya kawaida fungua menu, nenda kenye ile alama ya JF. iguse, ikifunguka pale juu andika jina la mtumiaji, pale chini weka neno la siri kisha fungua.Waambieni mods watoe haya majiti kwenw picha zetu basi.
Afu hii threat ni ya chit chat sio ya hapa hii
Haaaaaaaaa mkuu ya kweli hayoMiss Natafuta ni mwanaume ila Bahati mbaya ni Shoga, anaishi Kinondoni mkwajuni ,namjua vema. Jamaa siyo rizki !!
Kabila lake msukuma, alifikiaga Kitanda alivyotoka Mwanza na baadae biashara ilivyonoga akahamia Mkwajuni.
God have mercy to miss natafuta
Miss natafuta mm hapa ndo niliyekulipua account mpya umefungua lini?? Je umefungua kwa jina lile lile??nimefungua account mpya haijaanza kutumika bado sijui kwanini
Nimeamini miss natafuta ni dume lenye ndevu asingeweza kuandika neno mkuu wakati anajaribu kujibu hoja zangumkuu nimefungua account mpya bado haijaanza kutumika
HaaaaaaaahaaaahaaaMimi kama kuna mtu ninayemuombea mabaya ni mkuu wa ganja au kijamaika kaya akifuatiwa na Faiza Foxy yani huyu bibi ananikera sana
Ningekuwa ngariba faiza Foxy ungenikoma ningekukeketa kwa kucha
Hawezi kujisahau maana karudia neno MKUU kwenye comments nyingi sana kwenye Uzi huuLabda kajisahau
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Daaah!
Kweli huyo miss Natafuta ni shoga?
Aisee mimi hadi mwili umekufa ganzi...
Nachukia mashoga kufa!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Miss Natafuta ni mwanaume ila Bahati mbaya ni Shoga, anaishi Kinondoni mkwajuni ,namjua vema. Jamaa siyo rizki !!
Kabila lake msukuma, alifikiaga Kitanda alivyotoka Mwanza na baadae biashara ilivyonoga akahamia Mkwajuni.
God have mercy to miss natafuta
umekula ban au loooooooohunafuatilia habari za mtu mwenye fake id hivi unajua kuwa miss natafuta ni mwanaume kabisa anajifanya dem
Hawezi kujisahau maana karudia neno MKUU kwenye comments nyingi sana kwenye Uzi huu
Nimeamini miss natafuta ni dume lenye ndevu asingeweza kuandika neno mkuu wakati anajaribu kujibu hoja zangu
Hebu angalieni alivyoniita hapo eti MKUU, hakuna demu atakayeweza kumuita mtu eti mkuu maana yake ameandika SMS kama kwamba anachart na dume mwenzake
ata me nimebaki nashangaa kama ni hvyo wengi tutakua wanaumeView attachment 453369
Hii ni comment ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu
Kipi cha ajabu kuhusu mwanamke kutumia neno mkuu kwenda kwa mwanaume?
Member since 21 DEC 2016 hata week mbili hujafikisha ila una nyakunyaku kibao!
Sijajua jinsia yako ila sidhani kama upo katika uanamke ama uanaume
Mind your business MKUU
Live your life
*****
View attachment 453369
Hii ni comment ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu
Kipi cha ajabu kuhusu mwanamke kutumia neno mkuu kwenda kwa mwanaume?
Member since 21 DEC 2016 hata week mbili hujafikisha ila una nyakunyaku kibao!
Sijajua jinsia yako ila sidhani kama upo katika uanamke ama uanaume
Mind your business MKUU
Live your life
*****
Vitu vingine haviitaji ujuajiata me nimebaki nashangaa kama ni hvyo wengi tutakua wanaume