Miss natafuta wa JF audanganya umma

Miss natafuta wa JF audanganya umma

Waambieni mods watoe haya majiti kwenw picha zetu basi.
Afu hii threat ni ya chit chat sio ya hapa hii
ingia play store, andika neno Jamii forums itatokea alama (symbol) ya Jamii Forums halafu install, halafu ukimaliza rudisha simu kwenye hali ya kawaida fungua menu, nenda kenye ile alama ya JF. iguse, ikifunguka pale juu andika jina la mtumiaji, pale chini weka neno la siri kisha fungua.

hivyo vijiti hutaviona na utaona jamii forum mpya, nzuri!!
hivyo vinakuja kwa sababu unatumia browser ya kawaida badala ya application ya jf.
 
Miss Natafuta ni mwanamke, acheni kumchafua eti ni dume, mara shoga mara hivi!
 
alikua anataka kumuiga justine bieber na jana kijana mwingine wa kitanzania mwenye followers 100k huko IG kufuta
 
Miss Natafuta ni mwanaume ila Bahati mbaya ni Shoga, anaishi Kinondoni mkwajuni ,namjua vema. Jamaa siyo rizki !!

Kabila lake msukuma, alifikiaga Kitanda alivyotoka Mwanza na baadae biashara ilivyonoga akahamia Mkwajuni.

God have mercy to miss natafuta
Haaaaaaaaa mkuu ya kweli hayo
 
mkuu nimefungua account mpya bado haijaanza kutumika
Nimeamini miss natafuta ni dume lenye ndevu asingeweza kuandika neno mkuu wakati anajaribu kujibu hoja zangu

Hebu angalieni alivyoniita hapo eti MKUU, hakuna demu atakayeweza kumuita mtu eti mkuu maana yake ameandika SMS kama kwamba anachart na dume mwenzake
 
Miss Natafuta ni mwanaume ila Bahati mbaya ni Shoga, anaishi Kinondoni mkwajuni ,namjua vema. Jamaa siyo rizki !!

Kabila lake msukuma, alifikiaga Kitanda alivyotoka Mwanza na baadae biashara ilivyonoga akahamia Mkwajuni.

God have mercy to miss natafuta
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
utakua mgeni na jf si kosa lako
Hawezi kujisahau maana karudia neno MKUU kwenye comments nyingi sana kwenye Uzi huu

Nimeamini miss natafuta ni dume lenye ndevu asingeweza kuandika neno mkuu wakati anajaribu kujibu hoja zangu

Hebu angalieni alivyoniita hapo eti MKUU, hakuna demu atakayeweza kumuita mtu eti mkuu maana yake ameandika SMS kama kwamba anachart na dume mwenzake
 
View attachment 453369
Hii ni comment ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu

Kipi cha ajabu kuhusu mwanamke kutumia neno mkuu kwenda kwa mwanaume?
Member since 21 DEC 2016 hata week mbili hujafikisha ila una nyakunyaku kibao!

Sijajua jinsia yako ila sidhani kama upo katika uanamke ama uanaume

Mind your business MKUU
Live your life

*****
ata me nimebaki nashangaa kama ni hvyo wengi tutakua wanaume
 
View attachment 453369
Hii ni comment ya kipumbavu kutoka kwa mpumbavu

Kipi cha ajabu kuhusu mwanamke kutumia neno mkuu kwenda kwa mwanaume?
Member since 21 DEC 2016 hata week mbili hujafikisha ila una nyakunyaku kibao!

Sijajua jinsia yako ila sidhani kama upo katika uanamke ama uanaume

Mind your business MKUU
Live your life

*****

Msamehe tu mkuu, hajua kama neno Mkuu humu JF ni kama Mheshimiwa Bungeni, halina jinsia.
 
Back
Top Bottom