Miss natafuta wa JF audanganya umma

nilishaga mzoea huyo asikupe taabu
alishaga nichomesha mahindi siku moja nikapigwa baridi mpaka mida ya nane za usiku na hakutokea sina hamu nae tokea siku hiyo
 
mkuu mimi huwa nina principle moja pamoja na udhaifu wangu mwingine huwa sijali mtu ananiwazia nini as long sina habari nae wala hana faida kwangu
Acha waambiane wasemezane mabaya yako ,ipo siku wataambiana mema ya Mungu maishani mwako
 
Afadhali hata umesema yeye anafikiri neno mkuu latumiwa na wanaume tuuu
 
Miss Natafuta njoo huku kujibu hoja wanasema eti wewe unapumuliwa. Aiseee sema neno ili tukatae au kuamini tuhuma hizi nzito.
 
Huyu mnamvimbisha kichwa tu hamna vitu vingine vya ku discuss
 
Mbona siyaonii
Kuna midude ya rangi nyekundu na nyeupe yako kwenye kila avatar toka siku ile ya krismas,yanatoka kichwani(kama ni pc ya mtu)yanacross paji la uso kimsharazi yanaingia kwenye jicho la kushoto..

Kama kwako hamna basi una bahati ya mtende kuota jangwani..
 
Naomba nitoke nje ya mada, hivi mtu akipigwa ban members mnajuaje?
Kama ni life ban pia inajulikanaje?


Kuuliza si ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…